Huyu ndiye
Abdullatif Yunus a.k.a The Best DJ in Town mfanyakazi wa Radio Karagwe Sauti ya
Wananchi.
Anahost vipindi vifuatavyo: The Big Tune, East Africa Flavor, Zilizovuma, Yupi Mkali, Ijumaa Njema, Dira ya Leo, Love Portion n.k.
Sema neno moja kwake...
Anahost vipindi vifuatavyo: The Big Tune, East Africa Flavor, Zilizovuma, Yupi Mkali, Ijumaa Njema, Dira ya Leo, Love Portion n.k.
Sema neno moja kwake...
Revocatus
Philipo, Johanes M. Tiibuza, Longlover M Hilary and 19 others like this.
o


Press
Enter to post.
Abdullatif Yunus asante wadau japo
Like · Reply · 1 · February 24 at 10:50pm
Benjamin Cosmas radio karagwe mnamtagazaji 1 to
radio zima ambae ni katunsi, wengine wote mnalazimisha fani.
Gerald France amekaa poua!
Revocatus Philipo big up boy @krgwe radio
Islam
Mbae haya kaka kazi kwako........! ninaona mambo ya kusicrach....!
Jackson Josephat poz lmekataaaaaa
Johanes M. Tiibuza sawa bro
Onesmo Nicolaus from mbeya when iwll be back 2
karagwe ntachek uwezo wako if ucan scratch de cds kwa mashne ndo niseme neno
hata zaid ya moja
Longlover M Hilary komaaaaaa brow tunakupa shavu
sana pande za Sengerema Mwz!!
Adalbelt Muganyizi William aiiii jaman DURA!
Edwine Rwamugira JAMANI DURA
Wakudeka Yohana akomaeeeeeeeee maaaaaaannnaaaaa
lyf iz....
Joseph Rwebangira umetisha mkaka
Richard Mugisha Dj Dura we mkali!?
Willy
Buberwa mbona ana vipindi vingi vp hakuna mwingine mwenye vigezo
wakasaidiana au ndo ile aliyenacho ataongezewa asiyenacho..........
o
Salim Kemibalo N.k nikipindi gani? Mbona vpnd lumbi?
Nabias
Yonah DJ DULLAH KWA SANA!
o
Rajabu
Duda Ndio iko mkoa gani?
Mustafa Said we mkali sijui ticha wako akikuona
atasemaje? ukikmbuka enzi za ndyetebura pale rubale secondary ukiwa na akina
alfalsi, yazid chamba, sancho ruguga,munir,amina bakari.NATAKA SIKU MOJA NIWE
MGENI WA WIKI 

Junior January aaaah..?
Edson Ernest kuna mkal yko bk town dj cashmizo
Dickson Ernest Duuu! kumbe ndo ww best dj in
town,naomba niungie tempo hapo rkf coz me ni underground mc lakn natsha ile
mbaya sema nahtaj promo tu.
Princess Suby keep it up! one day yes!
Octavian Nestory ila sasa uache micfa, mpe hi! dj
reno na dj smatt
Ospicia Didace abarikiwe na bwana
Mustapha Samtala Pamoja sana!
Akin
Ernest hahahahaha Anakusalm Dj Nikotrack.
David William umetsha xna
Zamdaty Iddi Japhary Ajajajajaaaaa!!!! We dj
weweeee! Mi no comment
Jeani Katura Jordani we ni nomi tena nomi nu!
Amina Haruna DJ Dulla chezea unapendwa xana na
watu wa kwanza mie kaza buti unakubaliwa africa nzima krb udomu!
o
Godson Thomas dah naona pia inawezekana unaweza,
nko cbe dodoma, cku ukiwa frexh mpigie mama yangu kibao cha banana zoro
kiitwacho mama yangu. Big up karagwe, and krg is my hm land.
Swahibu Swahiba Njabu's toka pande za kigoma
ujiji 2po pamoko xan
Like · Reply · February 24 at 8:43pm · Edited
Man Fort Kutoka saut tabora big up xana anaweza
jambo la muhimu kukaza buti
Jamal Mohamed Mbade kumbe!
Julius K Jovin Huyu jama namjua vyema,anakimbiza ebhye
hatari!. Tokea Tabata Segerea ni Julius K Jovin
Jackson Samson NAMKUBALI SANA
No comments:
Post a Comment