| Kiongozi wa Mbio za Mwenge Akikagua Klabu ya Wanafunzi wapinga Rushwa katika sekondari ya RUICHO Wilayani Karagwe. |
| Mkuu wa Wilaya ya KARAGWE Mh. Darry akitoa ya kwake kwa vijana |
| wanafunzi katika picha ya pamoja |
| Ndugu Rachel Kasanda akiuliza swali kwa mwanafunzi wa shule ya Msingi Chonyonyo. |
| Eveline wa kidato cha Nne Ruicho Sekondari akijibu masali kuhusu Mwenge, ambae pia alijibu kwa ufasha mkubwa na kupewa zawadi mbalimbali. |
| Mheshimiwa Mkuu Wa Wilaya-Karagwe Bi. Darry Ibrahim |
No comments:
Post a Comment