Saturday, 12 April 2014

KIONGOZI MDAU YAHYA A. KATEME


Anaitwa Yahya Abdul-Salim Kateme (Mtoto wa Kapteni) ni Kiongozi na Kada wa Chama cha Mapinduzi CCM, kama Mwenyekiti wa Jumuiya ya Vijana (UVCCM) Mkoa wa Kagera. Pia ni Mwenyekiti wa SACCOS inayosaidia Vijana Wilayani Karagwe Maarufu kama UVIKASA.(kwa uchache)

No comments:

Post a Comment