KUNA TAARIFA ZA KUUWAWA ZAIDI YA WATU WANNE WILAYANI KYERWA MAENEO YA KATA RWABELE, USIKU WA KUMKIA LEO, MMOJA AKIWA NI NDUGU JUSTUS WAMARA ANAEONEKANA HAPO KATIKA PICHA. TUNAENDELEA KUFATILIA
 |
MAREHEMU JUSTUS WAMARA ANAYESEMEKANA KUWA NI MIONGONI MWA WALIOUWAWA USIKU WA KUAMKIA LEO |
No comments:
Post a Comment